The House of Favourite Newspapers

Mama Boko Apewa Msaada Aishukuru Global TV – Video

Shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba maarufu kwa jina la Mama Boko, ameishukuru Global TV ambapo kufuatia mahojiano aliyofanyiwa na mtangazaji @zali_mapito, msamaria mwema amejitolea kumhamisha kutoka mahali alipokuwa anaishi awali na kumpangia chumba kizuri chenye umeme pamoja na kumpa fedha za mtaji.