The House of Favourite Newspapers

MAMA D AWAKA ISHU YA KUMUIGA MOBETO

Sanura Kassim ‘Mama D’

MAMA wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Sanura Kassim ‘Mama D’ amegeuka mbogo baada ya kuambiwa kuwa amemuiga aliyekuwa mkwewe, Hamisa Mobeto na staili yake ya kupiga picha akiwa amepakatwa na ‘mtu’ wake.  

 

Hivi karibuni zilisambaa picha zikimuonesha Mobeto akiwa amepakatwa na yule jamaa yake Mmarekani aitwaye Josh kisha baada ya siku chache zikavuja za mama D, naye akiwa amepiga akiwa kupakatwa na mumewe Maisala Shante.

Kufuatia madai kwamba Mama D kamuiga Mobeto, mwandishi wetu aliamua kumtafuta na ndipo alipotoa povu hili: “Unajua siwezi kujibu swali hilo la ajabu, kwani wewe ukibebwa unajisikiaje? Na hayo mambo ya Mobeto jijibu mwenyewe na uandike unachojisikia.

DIAMOND ATUA SUMBAWANGA KWA NDEGE, MAPOKEZI YAKE BALAA! (VIDEO)

                  PART 1

 

                 PART 2

Comments are closed.