The House of Favourite Newspapers

Mama Dangote ampiga pini Zuchu

0

Inasemekana lakini, Mama Dangote (Diamond) ame-unfollow Zuchu kwenye ukurasa wa Instagram ambaye inadaiwa kuwa ndiye Mpenzi wa Diamond Platnumz kwa sasa. Inaelezwa kuwa Mama Dangote anampenda zaidi Aalya zaidi kuliko Zuchu.

Ikumbukwe kuwa Aalya ambaye ni Mtangazaji wa Wasafi TV, inasemekana kuwa ana ujauzito wa Diamond Platnumz.

Leave A Reply