The House of Favourite Newspapers

Mama Janeth Magufuli Ahudhuria Msiba Wa Shemeji Yake kikwete

janet-magufuli-6Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa leo huko Bagamoyo leo.janet-magufuli-1Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimfariji Bibi Maguno Binti Athumani ambaye ni  mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu)   Marehemu Mariam Saburi   aliyefariki jana na kuzikwa leo huko Bagamoyo leo .janet-magufuli-2Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na  Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alimfariji Bi Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu)  Marehemu Mariam Saburi aliyefariki jana na kuzikwa leo huko Bagamoyo leo .janet-magufuli-3Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mkwewe Bi Maguno Binti Athumani kwenye  msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam saburi  aliyefariki jana na kuzikwa leo huko Bagamoyo leo.janet-magufuli-4Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji  yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa leo huko Bagamoyo leo.janet-magufuli-5…Akiwapa pole baadhi ya wanafamilia.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Comments are closed.