testiingg
The House of Favourite Newspapers

Mama Mariam Mwinyi Asisitiza Umuhimu Wa Mazoezi Na Lishe Bora

0

Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kubadili mtindo wa maisha kwa kuzingatia mazoezi na lishe bora ili kukabiliana na maradhi ikiwemo Saratani, Ugonjwa ya moyo na Shinikizo la Damu hususan kwa vijana ili kupunguza vifo hivyo ambavyo ni takriban asilimia 75 ya vifo vinavyotokea duniani.

Mama Mariam Mwinyi amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Utekelezaji wa Afua za Maradhi yasiyoambukiza (NCDs) unaolenga kutekelezwa katika nchi 56 wanachama wa Jumuiya ya Madola tarehe 16 Novemba 2023 Ukumbi wa Marlborough House, Uingereza.

A-Z HUKUMU YA SABAYA,MAJAJI WASHANGAZWA NA USHAHIDI WA SERIKALI WASEMA HAKUSTAHILI KUFUNGWA MIAKA 30

Leave A Reply