The House of Favourite Newspapers

Mama Rwakatare Apambana na Mapepo ya Waumini – Video

0

JANA Jumapili, Januari 20, 2020, waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto lililoko Mikocheni B, Dar es Salaam,  walipokea baraka za Bwana katika ibada ya misa na maombi iliyoongozwa na Mchungaji Kiongozi, Dkt. Getrude Rwakatare kanisani hapo.

Aidha, Rwakatare alifanya ibada ya maombezi kwa watu waliofungwa kwa nguvu za giza, kuwaondolea mapepo yaliyokuwa yakiwatesa kwa muda mrefu na kuwaombea baraka za mafanikio kwa Mwenyezi Mungu.

 

Sambamba na baraka hizo, waumini hao pia wamepokea zawadi za mwaka mpya kutoka kwa mchungaji huyo.

Leave A Reply