The House of Favourite Newspapers

Mama Rwakatare Awapa Mbinu Wakristo – Video

0

KIONGOZI wa Kanisa la Mikocheni B Assemblies of God, Askofu Dkt. Getrude Rwakatare amewataka Wakristo wote nchini kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii kwa maana utajiri wa Kimungu unakuja kwa maombi na kufanya kazi kwa bidii.

 

Leave A Reply