The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mama Rwakatare, Mch. Mgogo Waacha Balaa kwa Wanandoa – Video

0

Kongamano la wanandoa la mwaka la Marriage Revival Dinner Party lililoandaliwa na Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mchungaji Kiongozi Mama Getdrude Rwakatare ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Machi 7, 2020.

Kongamano hili ni kwa ajili ya wanandoa wote kutoka dini zote. Baadhi ya Viongozi wa dini wanaotegemewa kuwepo leo ni pamoja na Daniel Mgogo kutoka mbeya, Paul Kuria kutoka Kenya, Askofu Josephat Mwingira, Dkt. Tembe, Askofu Gwajima, Mama Rwakatare, Askofu Dastan Maboya.

 

Leave A Reply