The House of Favourite Newspapers

Mama wa Kim aingilia kati Kylie asidanganyike kwa Tyga

0

1413912163_kris-jenner-zoomKris Jenner.

MAMA wa mwanamitindo na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With the Kardshians, Kylie Jenner, Kris Jenner ameingilia kati uhusiano wa mtoto wake pamoja na staa wa Hip Hop, Tyga.

kylie-jenner-tyga-split-up

Tyga akiwa na mpenzi wake  Kylie.

Chanzo kinaweka wazi kuwa Kris (60) anajitahidi sana kumkinga Kylie (18) asiweze kudanganyika kwa Tyga (26) hasa kwa pesa lakini pia hataweza kuwaachanisha kwani wanapendana sana.

“Linapokuja suala na pesa, Kylie anajua kuzimeki, hakuna mwanaume anayeweza kumsogelea ama kumdanganya. Hata huyo Tyga hawezi,” kilisema chanzo.

(Imeandaliwa na Andrew Carlos/ GPL)

 

 

Leave A Reply