Mama wa Mangwea awa Kivutio Fiesta Moro
Mwanamuziki staa wa Bongo Fleva, Belle 9, akifanya yake stejini wakati wa shoo za Fiesta 2016 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo hiyo.
Mama yake Ngwea, Neema Albert, akiongea jambo na mashabiki (hawapo pichani).
Mashabiki wakimsikiliza mama yake Ngwea.
Staa wa muziki wa Hip Hop Bongo, Stamina a.k.a Shorwebwenz, akifanya yake.
Mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol, akiimba na mashabiki wimbo wa Moyo Mashine.
…Akiendelea kuimba na mashabiki.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Kheri Sameer ‘Mr Blue’, akiwapa raha mashabiki wa Fiesta.
Chegge akitoa burudani.
Mkali wa ‘masauti’, Christian Bella, akifanya yake.
Msanii wa Bongo Flava Rap na Hip Hop, Darassa, akitambulisha ngoma yake mpya inayoitwa Too Much kwa wakazi wa Morogoro.
Staa wa Bongo Fleva, Dully Sykes, akifanya yake.
Nandy akiongea na mashabiki wake.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama, akionyesha umahiri wake wa kulishambulia jukwaaa la Fiesta
Shalo Mwamba akifanya yake.
Comments are closed.