Man City Yapoteza kwa mara ya tano mfululizo, Yapigwa na Tottenham 4-0
Pep Guardiola amepoteza kwa mara ya tano mfululizo hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza kama Kocha, baada ya Tottenham kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Manchester City kwenye Uwanja wa Etihad.
FT: Man City 0-4 Tottenham
Maddison (13’)
Maddison (20’)
Pedro Porro (52’)
Brennan Johnson
(90’+3’)