Manara Aibukia Jukwaa la Mashabiki, Shangwe Laibuka-Video

MSEMAJI wa Yanga Haji Manara  leo Septemba 25, kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ameibuka  jukwaa la mashabiki, ambapo alipigiwa shangwe la kutosha msahabiki wa Jangwani.


Toa comment