Msemaji wa Yanga, Haji Manara leo amefunga kamba za viatu vya kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Feitoto’ ambaye amekuwa akimuhusudu tangu akiwa Simba kwenye kilele cha Wiki Ya Mwananchi katika dimba la Benjamin Mkapa.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.