The House of Favourite Newspapers
gunners X

Manara Ampiga Dongo Wziri Mavunde ‘Mwenyekiti ya Bakuli la Taifa’ – Video

0

Klabu ya Simba SC, Januari 29, 2020 imezindua tawi la Simba ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litakaloitwa “Wekundu wa Mjengoni.”

 

Tukio hilo liloongozwa na spika wa bunge Mh. Job Ndugai limefuatiwa na zoezi la ugawaji kadi kwa wanachama wa Dodoma.

 

Msemaji wa Klabu ya Simba, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde ambaye ni shabiki wa Yanga kuwa kiongozi huyo “Sio Mwenyekiti wa Hamasa wa Yanga, bali ni Mwenyekiti wa Bakuli la Taifa”.

 

Leave A Reply