The House of Favourite Newspapers

MANARA Amtemea Nyongo Msemaji Azam “Eti UBINGWA wa OVYO”

0

Msemaji wa Mabingwa wa soka Tanzania, Simba Sports Club, Haji S Manara amemtolea nyongo msemaji wa Club ya Azam baada ya kuubeza ubingwa wa Simba, akitumia kauli ya Ubingwa wa ‘Ovyo’.

Tazama Video hapa Haji S Manara akiongea

Leave A Reply