Manara Azua Kizaazaa Uwanjani, Awarushia Jezi Mashabiki, Nusura Watoane Roho- Video

BAADA ya dakika  90 za mtanange wa kukata na shoka kati ya Simba dhdi ya  Yanga, wakiwania kombe la ngao ya jamii, zimemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao moja lililowekwa kimiani na Fiston Mayele, Msemaji wa Yanga Haji Manara alizua kizazaa baada ya kuwarushia jezi Mashabiki wa timu jukwaani.






Toa comment