The House of Favourite Newspapers

MANARA: STORI NCHI NZIMA NI SIMBA, LABDA AFE MTU MKUBWA- VIDEO

MSEMAJI wa Timu ya Soka ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa Simba kuja kwa wingi katika Uwanja wa Taifa katika siku ya mechi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya AS VITA.

 

Manara amesema hayo lo wakati akizungumza na na wanahabari jijini Dar es Salaam kuelekea mechi yao hiyo huku akitamba kwa kudai ana uwezo wa kubadili stori ikawa ni Simba kwa nchi nzima kwa wiki yote hii labda afe mtu mkubwa.

 

Mechi ya kwanza ya Simba dhidi ya AS VITA, Simba ilifungwa mabao 5-0 nchini DRC lakini Jumamosi hii katika mchezo wa marudiano, Simba wamedhamiria kushinda kwani nafasi wanayo, na endapo wataifunga AS VITA basi Simba watakua wamekata tiketi ya kucheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Comments are closed.