MANARA: Tusizushe Taarifa, MO DEWJI Atapatikana Mzima – Video

MSEMAJI wa KLABU ya Simba, Haji Manara amewaomba wanachama na wapenzi wa Simba watulie na kuacah vyomba vya usalama vifanye kazi yake.

Manara amesema “Tumeshtuka lakini tuna uhakika vyombo vya dola vitafanya kazi yake kwa weledi na Mohammed Dewji atapatikana tu”.

VIDEO: MSIKIE MANARA AKIZUNGUMZA

Loading...

Toa comment