The House of Favourite Newspapers

Manchester City Yaibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur

Manchester City imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur na kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mara ya nne mfululizo. Mabao ya Man City yamefungwa na  Haaland dakika ya 51′ na 90.

MSIMAMO 🔝2️⃣ EPL 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🥇 Man City — mechi 37— pointi 88 — magoli +60

🥈 Arsenal — mechi 37 — pointi 86 — magoli +61

MSIMAMO WA UFUNGAJI BORA

🥇 Erling Haaland — magoli 27
🥈 Cole Palmer — magoli 21
🥉 Alexander Isak — magoli 20