Manchester City Yaichapa Fulham Bao 4-0, Yarejea kileleni Ligi Kuu England
Manchester City imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya vigogo wa London, Fulham katika dimba la Craven Cottage.
FT: Fulham 0-4 Man City
⚽ Gvardiol 13’
⚽ Foden 59’
⚽ Gvardiol 71’
⚽ Alvarez 90+7’
MSIMAMO 🔝3️⃣
🥇 Man City — mechi 36 — pointi 85
🥈 Arsenal— mechi 36 — pointi 83
🥉 Liverpool — mechi 36 — pointi 78