The House of Favourite Newspapers

Manchester United ilivyoichakaza Swansea 2-1

0

2FBDEE9000000578-3381967-image-a-56_1451749385057

Kiungo wa Man United, Juan Mata akipiga shuti mbele ya beki wa Swansea katika mchezo uliopigwa jana kwenye Uwanja wa Old Trafford na United kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.2FBDF59A00000578-3381967-image-a-61_1451749656443

Leon Britton (kushoto) akichuana na nahodha wa United, Wayne Rooney.

2FBE21FD00000578-3381967-The_French_striker_watches_the_ball_hit_the_back_of_the_net_befo-a-18_1451755209489

Kipa wa Swansea, Lucas Fabianski akijaribu kuokoa mpira uliozama wavuni baada ya kazi nzuri ya straika wa United, Antony Martial. 

2FBE33AB00000578-3381967-The_20_year_old_celebrates_scoring_his_fifth_Premier_League_goal-m-2_1451763211368

Martial akishangilia baada ya kuipatia United bao la kwanza kwenye dakika ya 47. 2FBE2A9200000578-3381967-image-a-78_1451751311417

Wachezaji wa United wakipongezana baada ya kutangulia kwa bao 1-0 lililowekwa na Martial.2FBE612800000578-3381967-image-a-8_1451753838696

Rooney alionekana kuwa kwenye ubora wake usiku wa jana na alifanikiwa kuipatia bao la pili timu yake dakika ya 77.2FBE676B00000578-3381967-image-a-4_1451753722489

Rooney akishangilia kwa aina yake baada ya kuwahakikishia pointi tatu muhimu Mashetani Wekundu.2FBE613700000578-3381967-image-a-6_1451753753568

Rooney katika purukushani za kuwania kufunga dhidi ya mabeki wa Swansea.2FBE48A900000578-3381967-image-a-93_1451752385500

Gylfi Sigurdsson (kushoto) akipiga kichwa safi mbele ya Mata (aliyeruka juu) na kuipatia Swansea bao la kufutia machozi.2FBE4A7800000578-3381967-image-a-95_1451752437275

Sigurdsson akishangilia baada ya kutupia bao dakika ya 70.

Leave A Reply