The House of Favourite Newspapers

Manji anyakua tuzo za Viongozi wa Biashara Afrika

0

MANJI

MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (Pichani) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015.

Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika,  Aliko Dangote wa Nigeria, pamoja na wengine wengi.

Watanzania wote wanajivunia tuzo hili kwani litawasaidia kupata fursa kubwa za kibiashara ndani na nje ya Tanzania.

Leave A Reply