Mapenzi Yamtesa Nuh Mziwanda Kwenye ‘Natapatapa’ Video Mpya

 

Msanii wa bongo fleva, Nuh Mziwanda akubali mapenzi yanamtesa kwenye video ya wimbo wake mpya Natapatapa.

 

“Nayapenda sana Mapenzi Lakini yenyewe hayanipendi Mimi” ameandika Nuh kwenye akaunti yake ya instagram kwenye kusapoti kazi yake hiyo mpya.

 

Video imeongozwa na Khalfani Khalmandro.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment