The House of Favourite Newspapers

Mapito ya Imelda wa Global Tv, Kutimuliwa Na Walinzi Wa Diamond, Ugomvi Na Wema, Miaka 21 Ofisini.. – Video

0


KWENYE MAPITO ya GLOBAL TV, Mtangazaji Zari Mapito amepiga stori na mtangazaji nguli na mwandishi wa magazeti wa siku nyingi nchini Tanzania, Imelda Mtema aliyejizolea tuzo kadhaa kutokana na umahiri wake kwenye tasnia ya habari. Imelda amezungumza mengi ikiwemo kutolewa nje na walinzi wa Diamond Platnumz kwenye sherehe ya mtoto wao, Tiffah Dangote… ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

Leave A Reply