The House of Favourite Newspapers

Mapozi ya Tafakuri za Kocha wa Simba Jana Kabla na Baada ya Mechi

0

KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck  jana alinaswa na paparazi wetu akiwa katika mapozi tofauti kabla na baada ya mechi dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga. Amakweli dabi ya watani hao si mchezo na ni mara chake mno ikapita bila kusababisha vibarua vya watu kuota nyasi upande utakozidiwa maarifa. Dabi hiyo ilimalizika kwa sare ya bao 1-1.

Baada ya mechi kumalizika.                                                             HABARI PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL
Leave A Reply