Mapya Yaibuka Vijana Waliopotea Kariakoo Siku 373 -Wazazi Wao Wafunguka Haya – “Rais Samia Tusaidie”- Video
Mama mzazi wa Mohammed Rashid (23) amefanya mahojiano na Global Tv katika kipindi cha Katambuga na kueleza namna ambavyo mwanaye alivyopotea akiwa na rafiki yake katika kituo chake cha kazi Mnyamani Jijini Dar es Salaam Septemba 9, 2023.