Marekani: Rais Jimmy Carter, Aanguka, Avunjika Nyonga

Rais wa Awamu ya 39 wa Marekani, Jimmy Carter mwenye umri wa miaka 95 sasa amelazwa tena hospitali baada ya kuanguka na kuvunjika nyonga akiwa nyumbani kwake huko Georgia.

Masemaji wa Rais huyo aliyeongoza Marekani kuanzia 1977 hadi 1981, Deanne Congileo amesema kuwa Jimmy Carter hajaumia sana na wanatarajia atarejea nyumbani kwake hivi karibuni.

Kwa sasa Jimmy amelazwa katika Kituo cha Afya cha Phoebe Sumter akiendelea na matibabu.


Loading...

Toa comment