Marry Mtema Wa Dosari: Usipotongozwa Unaweza Kujiona Una Mkosi – Video

Mwanadada anayefanya poa kwenye tamthiliya za Kibongo, Mary Mtemi ambaye kwa sasa anatamba kwenye Tamthiliya ya Dosari akitumia jina la Queen, amefunguka kuhusu safari yake ya usanii na kueleza kuwa alianza tangu akiwa mdogo lakini alikuwa na aibu sana.
Amefungukia mambo mengine mengi ikiwemo jinsi alivyoigiza na Bi Mwenda kwenye tatmthiliya ya Huba.