The House of Favourite Newspapers

Mary J. Blige Atengana na Martin Isaacs

Blige na Isaacs enzi za upendo wao.

MSANII Mary J. Blige   wa Marekani hivi sasa hana mume.  Hii ni baada ya kutalikiana na mumewe mhadhiri maarufu wa Marekani, Martin Isaacs   mwezi Machi mwaka huu ambapo sasa wanakamilisha masharti ya talaka hiyo.

Wawili hao walioana mwaka 2003 na hawakupata mtoto.

Comments are closed.