Masele na mkewe wakicheza muziki laini.
Mke wa Masele akimlisha keki mumewe.
Masele akimlisha mkewe.
…wakigonga chears.
Mchekeshaji Erick Kisauti kwenye pozi na mtoto.
Baadhi ya wachekeshaji wakina na bwana harusi na bibi harusi.
Wakati wa chakula.
Mama mzazi wa Masele akimbeleza Masele na Mkwere.
Mama Masele akiwa na furaha.
Masele na mama yake katika pozi.
Mama Masele akiwa amebebwa juu kwa shangwe.
Masele na ndugu zake katika picha ya pamoja.
Kushoto msanii Erick, Mkwere na Masele.
Masele akiwa kabebwa juu kwa shangwe.
….wakiwa na mtoto wao.
....akiigiza ulevi mbele ya Kamera ya Global TV Online.
….akiwa na mkewe mbele ya Global TV.
Picha: Gabriel Ng`osha/GPL
Comments are closed.