MASHABIKI WA YANGA WACHANGAMKIA GAZETI LA SPOTI XTRA

Ofisa Mauzo, Charles Mponza (kulia) akimkabidhi shabiki wa Yanga gazeti la Spoti Xtra na tiketi.

TIMU ya masoko na usambazaji ya Global Publishers Ltd jana Agosti 4, 2019 imetinga Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mashabiki wa klabu za  Yanga wamelichangamkia gazeti la Spoti Xtra linalotoka kila  Alhamisi na Jumapili kwa bei ya Sh.500/=  na kujishindia tiketi za kuona mchezo wa mchezo wa kirafiki Yanga dhidi ya Kariobangi Sharks ilele cha Tamasha la Wiki ya Mwananchi katika mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa.

Timu hizo zimelazimishwa sare ya bao moja.

Mashabiki wa Klabu ya Yanga wakishikilia Spoti Xtra baada ya kulinunua eneo la Uwanja wa Taifa kabla ya mechi kuanza.

Mmoja wa maofisa usambazaji wa Gazeti la Spoti Xtra la Global Publishers (kulia) akimwonesha msomaji namna ya kushiriki shindano hilo kwenye kuponi iliyopo kwenye gazeti hilo.

Mmoja ya Maofisa akimkabidhi shabiki wa Yanga gazeti la Spoti Xtra na tiketi.


Loading...

Toa comment