Mashabiki Wafurika Mapema Mchezo wa Biashara vs Simba
MTANDAO huu ukiwa katika harakati zake za kuwahabarisha wasomaji wake, tayari kabla ya kutimia saa 6 mchana Jumamosi ya leo Aprili 27, 2019, dimba la Karume mjini Musoma limeshafurika mashabiki kibao wakisubiri kuushuhudia mchezo wa Ligi Kuu kati ya wenyeji Biashara United dhidi ya Simba ambao utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni leo.

Hali ilivyokuwa ndani ya Uwanja wa Karume mjini Musoma kabla ya kufika saa 6 mchana.

Hali ilivyokuwa nje ya dimba hilo, mashabiki wakihangaika kuingia ndani.



Comments are closed.