The House of Favourite Newspapers

Mashabiki wagomea soree ya  Q-Chillah

0

qchillahSTORI: MUSA MATEJA

MSANII anayemiliki Bendi ya QS Intarnational, Q – Chillah juzikati alizindua Bendi yake ndani ya Ukumbi wa Bilicanas lakini alipopanda stejini, aliwaomba mashabiki wake samahani kwa kuwapotea kwa muda mrefu na akawaambia amerejea kuwapa burudani.

Unaambiwa baada jamaa kuinama kama ishara ya kuomba msahama, baadhi ya mashabiki walisikia wakisema;

‘Umetuomba sana sahamahi, tumekuelewa sasa tunataka burudani tu. Kila wakati soree… soreee.

Hata hivyo baada ya kufanya hivyo, aliahidi kuwapa wadau wake ile kitu roho inapenda na akafanya kweli.

Leave A Reply