The House of Favourite Newspapers

Mashabiki Wamcharukia Ben Pol Baada ya Kupost Picha Chafu Instagram

1
                                             Picha ya kwanza aliyopost Ben Pol
                                           Picha ya pili aliyopost Ben Pol

Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol ameamua kuachia picha za utata katika akauti yake ya Instagram hivi karibuni baada ya kufuta picha zake zilizokuwa katika ukurasa wake huo.

Mashabiki zake baada ya kuweka picha hizo wote walimshambulia wakimuomba kuziondoa katika page yake lakini mpaka sasa picha hizo zimeendelea kuwepo kwenye page yake hiyo.

Mtandao huu tulimpigia simu staa huyu kujua nini kinaendelea lakini simu yake iliita bila kupokelewa na baada ya muda mfupi alijibu akiomba kutumiwa sms tu, tulipomtumia sms ya kujua kinachoendelea baada ya kuachia picha hizo hakujibu hiyo meseji.

1 Comment
  1. […] ambapo ni nyumbani kwa Mzee Majuto na kumkuta hai, na amekanusha uvumi huo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuposti picha inayowaonyesha yeye na Majuto wakiwa nyumbani kwake, na picha hiyo iliambatana na […]

Leave A Reply