Mashabiki Wachukizwa Na DMX Kutokufika Kwenye Tamasha

MTANDAO wa TMZ umeripoti kuwa mashabiki wa rapa DMX wamechukizwa na nizamu ya mbaya ya rapa huyo baada ya kutohudhuria kwenye tamasha kubwa la PUMA na Def Jam walipokua wanasheherekea mika 35 kwa kuanzishwa izo kampuni.

Show hii kubwa ilipangwa kumrudisha rapa DMX Akwenye ramani ya muziki na yeye alikuwa msanii maalum kwenye show hio inasemekana DMX alipojaribu kutafutwa na waandaaji wa shoo hiyo akupokea simu wala kujibu ujumbe wowote kuhusu kushindwa kufika kwenye show hio, waandaji walibidi kuomba wasanii waalikwa MIA, Fabolous na Jadakiss kufanya show ili kuziba pengo la DMX


Loading...

Toa comment