The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mashindano Ya Kufuzu Kombe La Dunia Afrika Yapamba Moto – Meridianbet Yawapa Mabashiri Fursa Kubwa Za Ushindi

0

Mashindano ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia yamechukua sura mpya leo barani Afrika, huku mataifa kadhaa yakirudi uwanjani kusaka pointi muhimu kuelekea fainali za mwaka 2026 zitakazofanyika Marekani, Kanada na Mexico. Vilevile meridianbet wamehakikisha fursa za ushindi kwenye michezo hii zinakua za uhakika kwa kukupa odds kubwa.

Mchezo wa kwanza wa siku unazikutanisha timu za Sudani Kusini na Togo majira ya saa 9 alasiri, pambano linalotarajiwa kuwa la ushindani mkubwa kutokana na kiu ya mataifa yote mawili ya kutaka kufanya historia katika kundi B. Wasudani, wakiwa kwenye ardhi ya nyumbani, wanapewa motisha kubwa kutoka kwa mashabiki wao, lakini Togo wamesafiri kwa ajili ya pointi tatu. Odds za meridianbet kwenye mchezo huu ni bab kubwa.

Katika kundi C, pambano kati ya Lesotho na Zimbabwe linatarajiwa kuwa kivutio kingine kikubwa. Timu hizo mbili za kusini mwa Afrika zina uhasama wa muda mrefu, na kila upande unaamini una ubora wa kutosha mbele ya mwengine. Lesotho wanategemea kasi ya washambuliaji wao vijana, huku Zimbabwe wakija na uzoefu wa kimataifa kutoka kwa wachezaji wanaocheza nje ya nchi. Timu hizi zinafuatana kwenye msimamo, Zimbabwe akiwa mkiani kisha Lesotho.

Wakati mechi zikiendelea, Meridianbet pia wanakupa nafasi ya kujizidishia mapato kupitia michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz, hapa ndipo jamvi la ushindi linapopatikana.

Usiku huu macho mengi yatakuwa kwenye kundi D, kundi linaloitwa Kundi la Kifo. Ndani yake, Cameroon watakuwa nyumbani kupambana na Angola, huku Cape Verde wakikabiliana na Eswatini, na Mauritius wakipambana na Libya. Cameroon wakiwa na mastaa wanaocheza Ulaya, wanapewa nafasi kubwa na bado wanaamini wana nafasi ya kufuzu kushiriki kombe la Dunia, lakini Angola wameapa kupindua meza.

Bila kusahau, bado fursa ya kupiga hela za meridianbet ipo kwenye michezo ya kundi H ambapo kuna jumla ya michezo mitatu mikubwa. Equatorial Guinea akiwa nyumbani anamkaribisha Liberia mnamo saa 16:00 jioni, huku Sao Tome & Principe wakiwakaribisha Malawi. Sao Tome wapo nafasi ya mwisho wakiwa hawana alama yotote ile na Malawi wao wapo nafasi ya nne wakiwa na jumla ya alama 10. Kwa mbashiri, mechi hii ni ya wazi ikiwa na odds za kutosha pale meridianbet.

Mchezo wa mwisho wa kundi H utawakutanisha Tunisia wanaoongoza kundi dhidi ya Namibia aliye nafasi ya pili wakiwa na tofauti ya alama 7. Tunisia amepata suluhu mchezo mmoja pekee na kushinda 7 hivyo kuwa na jumla ya alama 22 dhidi ya 15 za Namibia. Bashiri sasa mchezo huu hapa ili kuwahi fursa ya ushindi na meridianbet.

Leave A Reply