The House of Favourite Newspapers

MASKINI! ABIRIA AVUNJIKA MGUU KWA AJALI UBUNGO – VIDEO

 

Kabla Hujafa Hujaumbika! hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, aliyekuwa mzima na buheri wa afya, lakini ghafla jina lake likabadilika na kuwa kilema baada kuvunjika mguu kutokana na ajali aliyoipata maeneo ya Ubungo Mataa jijini Dar, leo Machi 7, 2018.

=======

Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwa WhatsApp 0753 715 779 (+255753715779). Tunalipa vizuri video za habari na matukio ya kwanza kutufikia.

SHUHUDIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.