Maskini Mtoto Warda Bado Siri Nzito, Familia Yaishiwa Nguvu, Yamlilia Kwa Uchungu – Video
Sakata la binti mdogo, Warda Mohammed (16), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha kupotea tangu April 19, 2023 bado ni kizungumkuti.
Kwa yeyote atakayemuona au mwenye taarifa za mahali alipo, awasiliane nao kwa namba za simu ambazo ni:
0656520998 au 0687003356.