Masongange akana kuwa na ujauzito wa Davido

Aggy3Agnes Masogange.

MWANAMITINDO Agnes Masogange, amekana kuwa na ujauzito wa mwanamuziki maarufu wa Nigeria aitwaye Davido, hii ni baada ya Agnes kuandika kwenye mtandao kuonyesha upendo wake kwa mwanamuziki huyo.

image (1)Hata hivyo, Agnes amemaliza mkanganyiko huo na kuzifuta picha zote zilizoleta taharuki na kuweka picha ya mpenzi wake halisi wa kiume.
Hata hivyo, Davido bado hajatoa kauli yoyote kuhusu suala hilo.

Loading...

Toa comment