The House of Favourite Newspapers

MASTAA 8 WANAOFANANA LAKINI HAWANA UNDUGU

Tunda.

DUNIANI ni wawiliwawili! Msemo huo umethibitika baada ya wadau wa muziki na filamu kuwataja mastaa ambao wanafanana sana lakini hawana undugu wala urafiki.

Mastaa hao ni pamoja Mama Mobeto na Snura Mushi, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ na mke wa William Mtitu ajulikanaye kwa jina la Yovita Mtitu, Tuerny na Irene ‘Lynn’, Tunda Sabasita na Asia Dutch.

Tuerny.

Baadhi ya mastaa hao waliozungumza na Risasi Jumamosi na kukiri kufananishwa na wenzao huku kila mmoja akieleza anavyolichukulia suala hilo.

 

Batuli.

 

“Mimi na mama Mobeto hatuna undugu wowote ila tunafahamiana kimjinimjini tu,” alisema Snura.

Asia naye alisema, yeye na Tunda hawafahamiani kabisa ila anamuona kwa sababu wote ni watu wa sanaa na watu wengi wamekuwa wakiwafananisha.

Mama Mobeto.

Mastaa wengine hawakuweza kupatikana mara moja kuelezea jinsi wanavyo-fananishwa na wengine. Asia naye alisema, yeye na Tunda hawafahamiani kabisa ila anamuona kwa sababu wote ni watu wa sanaa na watu wengi wamekuwa wakiwafananisha.

STORI: HAMIDA HASSAN

Comments are closed.