The House of Favourite Newspapers

Mastaa Hawa… ‘Wafuata Upepo?’

Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady

AFRIKA, namaanisha kwenye bara ambalo tupo, tuna msemo usemao hakuna rafi ki wa kudumu wala adui wa kudumu, ikiwa na maana kwamba leo rafi ki yako anaweza kuwa adui na adui akawa rafiki. Ni suala ambalo linaweza kuwa linafurahisha.

 

Linakufanya utabasamu sindiyo, lakini huo ndio ukweli halisi. Hata mwanamuziki Nasir Jones ‘Nas’ kwenye wimbo wake uitwao The Message aliimba kwamba;Thug changes, love changes,and best friend become stranger!’ Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha kwamba, maovu hubadilika, upendo hubadilika na hata rafi ki anaweza kuwa mtu baki. Ndivyo ilivyo kwenye maisha yetu ya kila siku. Watu wanakuwa marafiki au wapenzi na baadaye wanageuka kuwa maadui.

 

Lakini bila kutegemea baada ya muda tena wanapatana na inawezekana wakatofautiana tena.Sasa kwa wale wanaowapenda au watu wao wengine wa karibu wanageuka kuwa wafuata upepo. Wanafuata kule ambapo rafi ki au mpendwa wao yupo, akihamia huku nao wapo nyumanyuma kama mkia wa mbuzi, akirudi kule alikokuwa kwa rafi kialiyekosana naye nao hao wanafuata utafi kiri kumbikumbi. Nataka nikueleze nini?

 

 

Hebu kumbuka maisha ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na kipenzi cha Watanzania, Wema Sepetu, kabla ya Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, mama watoto wa Diamond, kuingia kwenye maisha ya Mbongo Fleva huyo.Ni ukweli kwamba Diamond na Wema walikuwa wakipendana sana. Na hapa watu wao wa karibu kina Rommy Jones, Harmonize, Esma, Mama Dangote (mama yake Diamond), Aunt Ezekiel,Moses Iyobo na wengine wengi kwa maana ya kijamii. Lakini na kufumbua ile timu yote ya zikanyesha.

 

ESMA

zikafanyika,hatimaye katika siku ya wapendanao mara anaonekana ya Wasafi .Sawa,tunamshukuru lipo. Tukirudi kwenye tetesi kabla hazijawa habari kamili, wawili hao wakaanza kuonekana wakiambatana kila kona na hivi karibuni Wema alimsindikiza Diamond kuzindua album yake nchini Kenya iitwayo A Boy From Tandale. Kutokana na ukaribu wao wa sasa upepo umehama tena na kurudi nyumbani ulipokuwa yaani kwa Wema.

 

Kila mmoja kwenye timu ya Diamond sasa anamuona Wema ni Malkia wa Sheba. Anamposti na kumzungumzia mazuri kila wakati.Sasa upepo ukigeuka na wewe ukaufuata utaitwa nani? Bila shaka jibu ni mfuata upepo.

 

Na haiwezi kuwa dhambi tukisema watu hawa,Esma (dada yake Diamond), Harmonize, Ray Vanny, Rommy Jones, Aunt Ezekiel, Mama Dangote ni wafuata upepo. Kweli maisha bila unafi ki hayaendi. Baada ya Zari kuwekwa kapuni hivi ndivyo wanafanya kwa Wema.

 

ESMAJuzi (Jumanne), aliposti picha akiwa na Wema pamoja na mtoto wa kike aliyesimama pembeni yao na kuandika; “Thank you for coming my forever wii!” hiyo wii ndiyo iliyoleta gumzo. Kwamba wifi kwa nani? Si kwa Diamond!

 

AUNT EZEKIEL

Yeye kabla na Wema zilikuwa haziivi. Lakini sasa mambo ni mto na wiki iliyopita mwanadada huyu aliposti picha wakiwa pamoja  na kuandika; “Kwa dhati tunapendana fi lamu hatuigizi, nyota zetu zinafanana kutuchafua hamuwezi.”

 

ROMMY JONES

Naye hakuwa nyuma.Siku ya Jumatatu iliyopita Wema alipoposti au jekundu na kuandika; “A Red Rose is a symbol of love,’ kaka huyu wa Diamond, alilipost.

 

HARMONIZE

Huyu ni mfuata upepo mwingine.Siku ya Jumanne naye alionesha mahaba kwa Wema kwa kuposti picha ya Wema na Aunt Ezekiel na kuandika; “Kama tamu ramba,kama chungu tema, ndiyo nimeshasema.”

 

Hao ni wachache tu, lakini ukweli ni kwamba wanaofuata upepo wapo wengi na kuwandika wote hapa, nafasi haitoshi! ya mashabiki wao, walikuwa wakifurahia uhusiano huu na kila mara kuwaposti kwenye mitandao kufumba macho Diamond na Wema walivyo mwagana, Diamond ikahamia kwa Zari.

 

Ndiye akawa rafi ki yao kipenzi, mtu ‘special’ wa kumposti kwenye wa kumuweka kwenye maombi yao ya kila siku. Wema akageuka kuwa adui. Haya, maisha yakaendelea. Jua likawaka na mvua Bethidei zikaingia na ‘Baby Shower’mwaka huu yaani Valentine Day, Zari akaposti ua jeusi na kuweka wazi kwamba amemmwaga Diamond.

 

Siku si nyingi tetesi zikaenea Diamond kila mitandao yao ya kijamii na hata nyumbani kwa Wema na hulala huko pia. Wema akasema Diamond ni mtu wake wa karibu na kwa sasa ni bosi wake maana anafanya kazi kwenye Televisheni Mungu kwa majibu hayo. Lakini lisemwalo.

Makala: Boniphace Ngumije

Kilivyowaka Kwenye Fainali za Shindano la Kuimba ‘Karaoke’

Comments are closed.