The House of Favourite Newspapers

Mastaa Harusi Ya Prince Harry, Meghan Markle

Mcheza tenisi maarufu duniani, Serena Williams na mumewe.
Mwendesha vipindi maarufu vya televisheni, Winfrey Oprah (katikati).
Mwanasoka maarufu wa zamani wa Uingereza, David Beckham na mkewe Victoria.
Mcheza filamu maarufu wa India, Pryanka Chopra.
Mwigizaji  wa Marekani, Idris Elba (kulia) akiwa na mkewe.
Mastaa walioalikwa wakipita katika barabara inayofahamika kwa jina la Long Walk kuelekea makazi ya kifalme Windsor Castle.

Zaidi ya watu bilioni 1.8 duniani jana Mei 20, 2018 waliifuatilia harusi ya kifalme ya Prince Harry na mchumba wake Meghan Markle katika vyombo mbalimbali vya habari.

 

Comments are closed.