The House of Favourite Newspapers

Matangazo ya Nafasi za Kazi 1083 Kutoka Taasisi Mbalimbali

0

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri katika Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi za Umma mbalimbali Serikalini, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 789 kama inavyooneshwa hapa chini.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAISSEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/ J/01
24 Agosti 2017
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya
Waajiri katikaWizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi za Umma mbalimbali Serikalini, Sekretarietiza Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa
anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwaWatanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi
789 kama inavyooneshwahapa chini.
 
1.1.1 MSAJILI MSAIDIZI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA WA WILAYA-NAFASI 11.1.KAZI/MAJUKUMU YA MSAJILI MSAIDIZI WA BARAZA LA ARDHI NANYUMBA WILAYA
Msajili Msaidizi wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba Wilaya atakuwa na Majukumuyafuatayo:i. Kusimamia utekelezaji wa sheria Na. 2 ya mwaka 2002;ii. Kuelimisha Umma kuhusu mfumo mpya wa utatuzi wa migogoro ya Ardhi naNyumba;iii. Kushirikiana wa Wakurugenzi Watendaji wa Wilaya kuhakikisha kuwa Mabarazaya Ardhi ya Vijiji yanaundwa na Mabaraza ya Kata yanafufuliwa na yoteyanafanya kazi kwa mujibu wa sheria husika;iv. Kuhakikisha kuwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya yanakuwa namazingira mazuri ya kufanyia kazi; Pale ambapo hakuna ofisi, kuwasiliana naviongozi wa Mkoa/Wilaya kuhakikisha kuwa ofisi zinapatikana/Majengoyanapatikana.v. Kuhakikisha kuwa kila Baraza lina wajumbe kulingana na matakwa ya Sheria nakama kuna upungufu kuwasiliana na Mkuu wa Mkoa ili atume mapendekezo kwaMheshimiwa Waziri;vi. Kuhakikisha kuwa Mabaraza yana vitendea kazi vya kutosha;vii. Kuratibu vikao vya Mabaraza kwa ushirikiano na Wenyeviti;viii. Kuhakikisha kuwa Taarifa ya utekelezaji (Return) ya kila mwezi inaandaliwa kwausahihi na kutumwa kwa Msajili;
ix. Kusimamia utayarishaji wa nyaraka mbalimbali zinazohusiana na marejeo, rufaa,nk na kuhakikisha kuwa zinapelekwa Mahakama Kuu- Kitengo cha Ardhi kwawakati;x. Kusimamia utendaji kazi wa Madalali wa Baraza;xi. Kuhakikisha kuwa fedha zinazokusanywa katika Mabaraza kutokana na adambalimbali katika Mabaraza zinapelekwa Benki kwa wakati na kuwa fedha zamatumizi zinatumwa katika Mabaraza kama ilivyokusudiwa;xii. Kuhakikisha kuwa taarifa za makusanyo na matumizi (uthibitisho wa jinsi fedhazilivyotumika) zitumwe kwa Katibu Mkuu kila mwezi.xiii. Kuhakikisha kuwa Watumishi wanapata haki zao;xiv. Kusikiliza malalamiko ya wananchi;xv. Kufanya kazi zingine kama utakavyoelekezwa na Mkuu wako wa kazi.
1.1.3 SIFA ZA MWOMBAJI
 Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali na aweamemaliza mafunzo ya kazini
internship/Externship
au mafunzo ya Shule yaSheria (
Law School
), uzoefu wa miaka mitano (5) na kuendelea katika masualaya Sheria, awe mwadilifu na asiye na historia ya makosa ya jinai na awe na umriusiopungua miaka thelathini na tano (35)
1.1.4 MSHAHARA
 Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali
TGS I
 1.2 AFISA ARDHI MSAIDIZI (ASSISTANT LAND OFFICER)
 
 NAFASI 31.2.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta;ii. Kutoa ushauri kwa wateja;iii. Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa utekelezaji.iv. Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu, picha taarifa,vipimo vya majumba na michoro;v. Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi;vi. Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan);vii. Kuagiza plani za Hati (Deed Plan).
1.2.2 SIFA ZA MWOMBAJI
 Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au cha Sita, waliofuzu mafunzo ya miakamiwili ya Umiliki Ardhi na Uthamini kutoka Vyuo vya Ardhi au Vyuo Vikuu vinginevinavyotambuliwa na Serikali.
1.2.3 MSHAHARA
 
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS C .
 
1.3 MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II)
 
 NAFASI 21.3.1 MAJUKUMU YA KAZI
 Sehemu ya Upimaji Milki
(Cadastral Survey)
 
 Kuingiza taarifa za Upimaji (alpha numeric data) kwenyekompyuta.
 Sehemu ya
Topographic
 na
Geodetic Surveys
 
 Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazizilizothibitishwa kwenye komputa.
 Sehemu ya Ramani
 Kufanya upimaji picha
(aerial triangulation and block adjustment);
 
 Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani
(map revision)
 
 Kutunza kumbukumbu za picha za anga.
 Sehemu ya
Hydrographic Surveys
 -Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauges.
 Mpima Ardhi katika Serikali za Mitaa
 Kufanya kazi za nje ya Ofisi
(field survey operations)
chini yausimamizi wa mpima aliyesajiliwa.
1.3.2 SIFA ZA MWOMBAJI
 Kuajiriwa wenye Shahada ySayansi katika fani za Geomatics au LandSurveying kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi katika fani ya Upimaji Ardhi au Taasisiyoyote inayotambuliwa na National Council of Professional Surveyors (NCPS).
 Au
 Kuajiriwa wenye cheti cha East African Land Survey (EALSC) au NationalCouncil of Professional Surveyors Certificate (NCPSC) katika fani ya upimajiardhi.
1.3.3 MSHAHARA
 Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGS E..
1.4 AFISA ARDHI DARAJA LA II
 
 NAFASI 41.4.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika kompyuta.ii. Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria.iii. Kufanya ukaguzi wa viwanja.iv. Kutoa notisi na kupendekeza ubatilishaji wa miliki kwa visivyoendelezwa kwamujibu wa sheria.

Nafasi 7 za Accountant Kutoka Serikalini

JOB OPPORTUNITIES AT MUHIMBILI, AUGUST 2017

Leave A Reply