The House of Favourite Newspapers

Matatani Kunywa Pombe na Wanawake Wawili Baa

0

KWANI kunywa bia na wanawake wawili baa ni kosa kisheria? Si ndivyo utakavyohoji? Sasa UWAZI linakuambia wewe endelea na udadisi wako na uthubutu kufanya hivyo kizembe yakukute yaliyomkuta jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Michael (47) aliyejikuta matatani kwa kujiachia na wanawake wawili usiku wa mkesha wa Sikukuu ya Krismasi ambapo kuliibuka taharuki kubwa.

STORI KAMILI IPO KWENYE #GLOBALAPP SOMA GAZETI LA UWAZI BURE.

Pakua Global APP hapa👇

Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8

iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx

 

Leave A Reply