The House of Favourite Newspapers

MATOKEO DARASA LA SABA HAYA HAPA: Wanafunzi Walioongoza Kitaifa

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetaja wanafunzi 10 bora kitaifa waliofanya vizuri katika matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi, ambapo wanafunzi sita kati ya 10 wanatokea shule za kanda ya ziwa.

Dk Msonde amewtaja watahiniwa 10 bora kitaifa na shule zao kwenye mabano ni Ndemezo Lubonankebe (Kadama-Geita), Innocent Seleli (Carmel-Morogoro), Given Malyango (Tumaini Junior –Arusha), Diomedes Mbogo (St Achileus Kiwanuka-Kagera), Sweetbert John (Mingas-Shinyanga).
Najma Manji (Nyamuge-Mwanza), Beatrice Jeremiah (Mapinduzi B-Mara), Mohamed Abdirahman Mohamed na Luqman Ally (Raskazone-Tanga) na Francisco Maiga (Kadama-Geita).
 

Kutazama matokeo hayo

Bofya hapa === > Matokeo Darasa la Saba 2018 (Link 1)

Bofya hapa === > Matokeo Darasa la Saba 2018 (Link 2)

Pia unaweza kuyatazama kwa urahisi kupitia Global Publishers App

Android ===> Play Store

iOS ===> 

BREAKING: NECTA yatangaza matokeo darasa LA 7

Comments are closed.