Matokeo Walioshinda Nafasi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba – Video
Walioshinda nafasi ya wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba katika uchaguzi uliofanyika jana Januari 29 na kumalizika leo Januari 30, 2023 ni pamoja na :-
Dkt. Seif Ramadhan Muba – kura 1636
Asha Baraka – kura 1564
CPA Issa Masoud Iddi – kura 1285
Rodney Chiduo – kura 1267
Seleman Harubu – kura 1250
Uchaguzi huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.
https://youtu.be/a6ntjDW2Adg