The House of Favourite Newspapers
gunners X

Matokeo ya Darasa la Saba 2023 haya hapa, Ufaulu wa Wavulana na Wasichana Wafanana

0
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini (Necta). Dk Said Mohammed akitangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba ya mwaka 2023 jijini Dar es salaam, Kushoto ni Naibu Katibu Mtendaji Angela Kitali.

Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa Novemba 23, 2023 na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), yameonesha ufaulu wa wavulana na wasichana umefanana ambapo wavulana wamefaulu kwa asilimia 80.59 na wasichana wamefaulu kwa asilimia 80.58.

Matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohamed, jumla ya watahiniwa 1,092,960 sawa na asilimia 80.58 ya watahiniwa 1,356,296 wenye matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 wamefaulu ambapo wamepata madaraja ya A, B, na C. BONYEZA LINK HAPA CHINI

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2023

Leave A Reply