Matukio Mbalimbali Katika Picha Msiba wa Dkt. Mengi Karimjee!
Share
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akitoa heshma zake za Mwisho.Baadhi ya wanandugu wa Dkt. Mengi wakihuzunika kumpoteza mpendwa wao.Baadhi ya wanandugu wa Dkt. Mengi wakihuzunika kumpoteza mpendwa wao.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (wa pili kulia) akiwa na waombolezaji msibani kwa Dkt. Mengi wakati wa kumuaga Viwanja Vya Karimjee.Taswira nzima ilivyoonekana kwakati wa kuuga mwili wa Dkt. Mengi.Huzuni ikitawala miongoni mwa wanafamilia.Wanandugu wakihuzunika kumpoteza mpendwa wao.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Comments are closed.