Matukio Mbalimbali ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 2025 Mission 300
Kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) ambako Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika 2025 (Mission 300) unaendelea, mkutano huo unalenga kuwapelekea umeme waafrika milioni 300 katika nchi za Afrika