Ufaransa ndio nchi ambayo ni mwenyeji wa michuano ya Olympic 2024 michuano ambayo inafanyika kila baada ya miaka minne, Tanzania ni moja ya nchi shiriki kwenye michuano hiyo na ina matumaini ya kuchukua medali.
Medali ambayo kama taifa la Tanzania wanaweza kutwaa kwenye michuano ya Olympic mwaka huu wa 2024 ni medali za wakimbiaji wa mbio ndefu (Marathon) ambazo zitaongozwa na mkata upepo mwenye uzoefu Alphonce Simbu.
Wakimbiaji wa mbio ndefu ambao wataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Olympic mwaka huu wa 2024 mbali na Alphonce Simbu ni pamoja na Jackline Juma Shakilu, Magdalena Shauri, na Gabriel Geay.
Jana Tanzania ilipoteza mshiriki kwenye michuano ya Olympic kupitia muogeleaji Collins Saliboko ambaye alishiriki mchezo wa kuogelea mita 100 na kumaliza nafasi ya saba, Hivo kupelekea kutupwa nje kwenye michuano hiyo.
Michezo ya Olimpic 2024 inaendelea huko nchini Ufaransa ambapo maono na matumaini ya Taifa la Tanzania yamebebwa na wakimbiaji wa riada za mbio ndefu anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania. Cheza pia michezo ya Kasino mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roulette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Michuano ya Olympic mwaka huu inaonekana kua yenye mvuto zaidi ukilinganisha na miaka mingine ya hivi karibuni jambo ambalo limewavuta watu wengi kutazama michuano, Huku Meridianbet wakiendelea kumwaga ODDS NONO kwenye michezo inayopigwa kwenye Olympic 2024.